Notifications
Clear all
Topic starter
Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman akitaja Kikosi kitakachoingia kambini Agosti 28, 2024 kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itakayochezwa Septemba 4 na Septemba 10, 2024.
Kocha Morocco amewacha Mbwana Samatta na Saimon Msuva katika Kikosi hicho kitakachocheza dhidi ya Ethiopia na Guinea huku akimrudisha kikosini Mlinzi wa Yanga SC Dickson Job ambapo katika kikosi kilichopita kukosekana.
Posted : 02/09/2024 6:06 am
Msuva bado anaitajika siyo Samata.
Posted : 02/09/2024 6:14 am
Topic starter
Kwanini Msuva na sio Samatta
Posted : 02/09/2024 7:34 am
Msuva ni bola kuliko samata
Posted : 02/09/2024 12:48 pm