Notifications
Clear all
Topic starter
02/09/2024 7:33 am
Je! ni kweli washabiki wa Yanga SC Hawamtaki Haji Manara?
Nimeona tweet nyingi hata kwenye jukwaa ntingi za michezo washabiki wa Yanga kuonesha kutokumkubali Haji Manara.
Wananchi mje mseme kama ni hay ya kweli.
11/09/2024 3:32 am
Nani kasema 😅